Saturday, June 9, 2018
Rais Magufuli Ametangaza Ajira Mpya 1 500 kwa Askari Polisi Ameahidi Kutoa Bilioni 10
Rais Magufuli Ametangaza Ajira Mpya 1 500 kwa Askari Polisi Ameahidi Kutoa Bilioni 10

�Mimi nimeoa kambini, mke wangu ni mtoto wa Askari Polisi, kwahiyo maisha ya askari wa chini nayatambua, leo nitatoa bilioni 10 ili zikasaidie kujenga nyumba za maaskari na hizi nyumba ziwe za maaskari wa chini�� Rais Magufuli